John 16:25

Amani Kwa Wanafunzi

25 a “Nimewaambia mambo haya kwa mafumbo. Saa yaja ambapo sitazungumza nanyi tena kwa mafumbo bali nitawaeleza waziwazi kuhusu Baba.
Copyright information for SwhNEN